Wednesday, 12 May 2010

Shule Inaumiza kweli kweli

Hapo ni mwendo wa kufikiria nitafika kweli, juice ya embe ni tamu lakini kutokana na mzigo wa assignments imekuwa kama vile imeungwa pili pili, mdunfiko kwenye luninga kama haupo vile


Kucheza karibu na jiko nako ni ka-hobby fulani

2 comments:

Rainer Brandl - Corruption, Korruption, Africa, Afrika, Kirche, Church said...

Hey nice design again!

MBOGELA, Jackson said...

Thank you Doc. by end of july I will start writing again